Ni kampuni gani ya betting ni nzuri haina longolongo kwenye malipo

Ni kampuni gani ya betting ni nzuri haina longolongo kwenye malipo

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Nimeanza kuvutiwa na kucheza betting naombeni muongozo?
 
Achana kabisa na hilo wazo..kuna uraibu mbaya sana huko.!
 
Kuna msemo hutumiwa sana na walevi " kunywa kistaarabu" kwenye betting nako "beti/ cheza kistaarabu " hapo ujue kabisa unywaji wa pombe na betting vinafanana ila haiviko sawa, yaani pombe inachosha mwili na akili ila betting inachosha akili tu,
Kupanga ni kuchagua ishi kivyako wasikutishe mkuu.
 
Nimeanza kuvutiwa na kucheza betting naombeni muongozo?
aisee utachelewa sana kuwa tajiri navihurumia vizazi vyako vyote vinne vitakavyotembea kwenye laana aliyoianzisha babu yao aliyeamua kucheza kamari. so sad.
 
Back
Top Bottom