Ni kanda ya Magharibi pekee haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - wanasiasa mna majibu? Nielimisheni!

Kanda ya Nyanda za Juu kusini ndio haijawahi kutoa Rais, makamu wa rais Wala waziri mkuu.
 
Samahani mkuu na mimi nilitoa boko. Nia yangu kumwambia arekebishe Moringe anatokea Kaskazini sio hiyo mashariki aliyoandika ya wapi??

Umenisoma?

Kweli maisha magumu hadi tunaandika visivyoeleweka😂😂
 
Hongera sana Kaka kwa ushauri wako mujarabu, mkuu ameuona na ameuskia ndo maana tunasema jf Ni sehemu ya GT tutoe ushauri mahususi kwa viongozi
Kwa kweli nimejibiwa! Mungu mwema
 
Edward M. Sokoine -Mashariki??? Na umerudia Mara tatu

Salim Ahmed Salimu - Mashariki???
 
Wazee wachawi wa Kigoma hawaruhusu maendeleo kanda hiyo. Ondokeni na ushirikina mambo yatakuwa shwari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…