Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa:
Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa upande wangu.

Theory of everything (Nadharia ya kila kitu)

We are of God and we live for mankind. (Sisi ni wa Mungu na tunaishi kwa ajili ya wanadamu). Anything done in that statement is right, anything contrary to this statement is left. Living and doing according to this statement is healthy and therefore right. Always healthy things are right. Uzi tayari....

Ila ngoja, uzi bila picha haunogi, basi picha hii hapa:
'Shit happens' is the worst philosophy to live with. 'Shit happens for a reason' is healthy, w...jpg

Stuka! unapigwa bro huoni picha yenyewe nayo ni maneno? So ni sehemu tu ya uzi sema tu ina marangirangi 🤦‍♂️😂🤣🤣
 
Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa:
Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa upande wangu.

Theory of everything (Nadharia ya kila kitu)

We are of God and we live for mankind. (Sisi ni wa Mungu na tunaishi kwa ajili ya wanadamu). Anything done in that statement is right, anything contrary to this statement is left. Living and doing according to this statement is healthy and therefore right. Always healthy things are right. Uzi tayari....

Ila ngoja, uzi bila picha haunogi, basi picha hii hapa:
View attachment 2200930

Stuka! unapigwa bro huoni picha yenyewe nayo ni maneno? So ni sehemu tu ya uzi sema tu ina marangirangi 🤦‍♂️😂🤣🤣
Siyo koloo
 
Nadharia yangu nifanye ujinga wote ila sio kudhulumu ,kutapeli kumfanya mtu asononeke Kwa ajili yangu ni ivyo tu basi
Safi sana hiyo ni hatua nzuri. [Non malficence]

Kama utapenda unaweza kuiongezea na kifanya chanya/active kwa kuongeza nyamanyama na kusemaa.... Nataka nitumie akili kubwa kufanya mema ambayo yatafanya watu wawe na furaha kwa ajili yangu. Imejikita kwenye beneficence hii.
 
Yeap kujiepusha na tamaa kupambana na hali yangu
Safi sana hiyo ni hatua nzuri. [Non malficence]

Kama utapenda unaweza kuiongezea na kifanya chanya/active kwa kuongeza nyamanyama na kusemaa.... Nataka nitumie akili kubwa kufanya mema ambayo yatafanya watu wawe na furaha kwa ajili yangu. Imejikita kwenye beneficence hii.
 
"jambo nisilopenda kufanyiwa, nisimfanyie mwenzangu"
Safi sana hii kanuni wanaiita kanuni ya dhahabu na yeyote anayeifuata anakuwa hana ubaya na mtu.

Iko na hali mbili; passive and active form. Passive yake ndo hiyo halafu active yake inakuwa 'Jambo ninalopenda nifanyiwe, ninamfanyia mwenzangu'. Anayeifata anakuwa na mazuri na watu. Hii ya pili kwa kuwa ni active inabidi ifanywe bila kuiathiri hiyo ya kwanza. Kwa hiyo mzeebaba makaveli10 kanuni yako ndiyo kanuni ya msingi. Hongera.
 
"" Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa upande wangu.""
Sasa hapa umeandika nin
 
Shukrani kaka.
 
"" Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa upande wangu.""
Sasa hapa umeandika nin
Hahahahaah bro..... hapo namaanisha kama mti utaishi ukimtukuza mungu[kivyake] na kuwapa faida watu mfano kivuli, matunda huoni tuaishi na huo mti vizuri tu. Na hata ukiwa porini huko ukaishi vizuri na miti wenzake na kumtumikia Mungu kwa kuwapa wanyama oksijeni napo utakuwa sahihi. Kabakteria kakikaa tumboni mwangu kakanipa afya kakanisaidia [formankind] kulainisha chakula nitaishi nako bila shida ila kakija kuanza kuniletea maumivu ya tumbo nakapiga masumu kanakufa.

Kumbuka bakteria ni sehemu ya mwili wetu vikiendelea kutumikiana vyenyewe kwa vyenyewe na kuutumikia mwili vizuri kama viungo vingine tunaendelea kuishi navyo vizuri kama jamii moja mfumo mmoja.
 
Back
Top Bottom