sodeely
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 187
- 118
Hivi CCM na serikali yao wametumia katiba ipi kupata cheo cha makamu wa kwanza wa rais?
Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Ibara ya 47(1) inasema "Kutakuwa na makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye msaidizi mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Muungano.. "
Sasa huyu makamu wa kwanza ana kazi gani? Na amepatikana kwa kutumia katiba ipi? Ya Muungano au ya Zanzibar?