Ni kawaida au huyu wangu kazidi?

Ni kawaida au huyu wangu kazidi?

Nimewahi bariki pombe za pale mzee.....si pabaya kukimbia kelele za mjini na farasi weupe!

Mzee kuna toto moja la Kirangi lipo pale linafunika balaa farasi mweupe unawaogopa wale si unamaliza nao kiaina kwani lazima ukae mpaka majogoo.
 
Mzee kuna toto moja la Kirangi lipo pale linafunika balaa farasi mweupe unawaogopa wale si unamaliza nao kiaina kwani lazima ukae mpaka majogoo.

Mzee hadi wafunge hahahahah unajua sababu?
 
Hahahaha yeah wazo zuri sana hilo wale wapambe wasingeweza kujilipia nauli mpaka Kibaha au Kibamba pale.

mademu unawajua au unawasikia, watakuja na watakwambia hawana nauli ya kurudia, ya kujia walikopa hivyo wanaomba uwarudishie, upo hapo?
Sijapita itabidi j2 nizungukie iwa naishia pale Luguluni park umewahi kaa pale?
pale mkuu pametulia sana, supu yao ya kufa mtu, kitimoto ndo usiseme!.
mbona sasa mnakwepa majukumu? c mnayoyataka nyie...
hayo ya kuchunana sio majukumu, ni wizi tu!. we umepewa ofa peke yako, kwanini umkokote na mwenzako?
aaarrrrrghhh.
 
mademu unawajua au unawasikia, watakuja na watakwambia hawana nauli ya kurudia, ya kujia walikopa hivyo wanaomba uwarudishie, upo hapo?

Hapo mkuu noma tupu dah balaa.
Unasema kiti moto poa kitazidi cha kwa Jeni pale Korogwe mkuu?
 
Back
Top Bottom