KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Hamna sehemu nzuri ya utulivu kwa mtoto kujiendeleza kielimu kama boardingMkuu mzigo wa kulea mtoto kwa maadili wanatupiwa boarding school..?
Pia kuwa nae karibu anaweza daka mimba kwa umri huoHabarini!
Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.
Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).
Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea.
Uzoefu wenu tafadhali....
Ahsante.....hilo nitalifanya kuwa jambo la lazimaPia kuwa nae karibu anaweza daka mimba kwa umri huo
Tatizo wazazi wa siku hizi wanapenda kwenda na maisha ya kisasa wanasahau kuwa na wao walipitia stage hiyoMkuu wazazi huwa hawaamini kwamba wanao wanakuwa hivi huwa ni kwanini?.
Kuvunja ungo ni ligha tu ya kujaribu kuficha lakini usahihi ni kwamba mtoto ameianza menstruation kwa sasa huyo si mtoto tena bali ni mwanamke kama wanawake wengine maana kuanzia hapo anasifa za kuwa mama.Habarini!
Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.
Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).
Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea.
Uzoefu wenu tafadhali....
kama sikosei haya mambo ya kutofichana chochote katika malezi yanayohusisha ukuaji na mabadiliko yake kwa watoto ndilo jambo linalopigiwa kelele sasa......kwamba wazazi (me na ke) mkae na kuwaeleza wazi watoto wenu (me na ke) kuhusu mabadiliko hayo na athari zake. sasa umbea wangu ni nini hapo mwanaJF wewe?!!!Mwanaume mumbeya wewe hata mkeo hana akili vitu vya bintiye kumwambia baba haipendezi maana hicho huwa ni kipindi cha tofauti kiakili na mawazo loh
kweli kabisa!Kuvunja ungo ni ligha tu ya kujaribu kuficha lakini usahihi ni kwamba mtoto ameianza menstruation kwa sasa huyo si mtoto tena bali ni mwanamke kama wanawake wengine maana kuanzia hapo anasifa za kuwa mama.
nitazipokea tu, hakuna namna!Naziona shikamoo mzee kwa wiingi ndugu yangu.. Mie goli langu ndio kwanza katimiza miaka 8