9 mbona kama ndogo sana, at least ingekuwa 13Kwa spidi hiyo ni kawaida
ni Honda gani hii na inafaa kwa matumizi ya mikoani (ufundi, service, spea) au hadi uwe DarMbaya sana. Check service. Ukitoka uko karibu Honda. View attachment 3571088
Oil tu kaka. Honda Fit Hybrid. Ata ukiwa Namabengo kaka inaenda.ni Honda gani hii na inafaa kwa matumizi ya mikoani (ufundi, service, spea) au hadi uwe Dar
Hii gari usiuze aisee!!Mbaya sana. Check service. Ukitoka uko karibu Honda. View attachment 3571088
Ata niseme niuze kaka nina hela basi ya kuongezea 😂😂Hii gari usiuze aisee!!
Maisha yetu hatujui ya kesho unaweza kupiga dili moja la maana ghafla ukawaza kubadilisha chumaAta niseme niuze kaka nina hela basi ya kuongezea 😂😂
Inafaa sanaMbaya sana. Check service. Ukitoka uko karibu Honda. View attachment 3571088
Kwa kawaida inatakiwa iwe ngapi?Na Kuna grande mark II(1g fe) ya mtu imeletwa garage, consumption yake ni 4.8km/l
Magari ya Wajeda na madalali 😅😅Na Kuna grande mark II(1g fe) ya mtu imeletwa garage, consumption yake ni 4.8km/l
Hahaa mkuu why wajeda na madalali?Magari ya Wajeda na madalali 😅😅
Hapana inatakiwa Ltr iende 13-17 km.Aina ya Gari Premio F
Mwaka 2002
Engine 1NZ
Mkoa : Tanga Mjini
Speed: 15 hadi 40,