Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
Kchoka ni lazima iwapo utakimbia muda mrefu. Ila homa na mafua hapana... Kama ndiyo unaanza mazoezi ya kukimbia basi anza kidogo kidogo. eg siku ya kwanza hatua 200 siku ya pili hatua 250, unapanda kidogo kidogo mpaka unajikuta umezoea kukimbia mwendo mrefu.Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
Kama upo Mbeya unakimbia kwenye lile vumbi mafua lazima hapo.Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
Ndiyo, ni kawaida kwa kiasi fulani kuhisi uchovu na maumivu ya misuli yanayofanana na homa baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia. Hata hivyo, kuhisi homa kali ya kupima na mafua (pua kuziba au kutoka majimaji) si matokeo ya moja kwa moja ya mazoezi, bali inaweza kuwa ishara ya maambukizi ya virusi au mwili kuzidiwa nguvu. Fenomena hii wakati mwingine huitwa "Runner's Flu" (Homa ya Wakimbiaji).Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
Mkuu hapa Toka Jana naumwa homa, mwili uliishiwa nguvu, nimekosa appetite, nahisi kutapika, matunda tu kidogo ndo yanapanda. Nimetumia alu ila nahisi ndo zinaniyumbisha hatari.Ndiyo, ni kawaida kwa kiasi fulani kuhisi uchovu na maumivu ya misuli yanayofanana na homa baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia. Hata hivyo, kuhisi homa kali ya kupima na mafua (pua kuziba au kutoka majimaji) si matokeo ya moja kwa moja ya mazoezi, bali inaweza kuwa ishara ya maambukizi ya virusi au mwili kuzidiwa nguvu. Fenomena hii wakati mwingine huitwa "Runner's Flu" (Homa ya Wakimbiaji).
Inawezekana homa na mafua yakatokana na vumbi na hewa ya baridi unayoivuta Kwa Kasi unapokimbia.Nauliza tu wakuu nisijekufa bure