Kabla ya vote je umejaribu kumkalisha at least sekunde tano?Habari zenu wanajamvi,naomba kueleweshwa kitu mwanangu anamiezi minne toka kuzaliwa lakin mpaka sasa shingo yake haijakaza je ni kawaida au?lakin ni mchangamfu sana yuko vzuri ni hilo la shingo tu.
NB:alipozaliwa aliugua yellow fever akakaa chumba cha joto kwa siku 10,then akaruhusiwa je inaweza ikawa imechangia kitu?
Nawasilisha kwenu kwa ushauri asante
Kabla ya vote je umejaribu kumkalisha at least sekunde tano? kama analia sana,na hakai jitahidi kuwa karibu na daktar hilo tatizo lilishatokea kwenye familia yetu kama halii na anakaa kidogo itakuwa ni uneneHabari zenu wanajamvi,naomba kueleweshwa kitu mwanangu anamiezi minne toka kuzaliwa lakin mpaka sasa shingo yake haijakaza je ni kawaida au?lakin ni mchangamfu sana yuko vzuri ni hilo la shingo tu.
NB:alipozaliwa aliugua yellow fever akakaa chumba cha joto kwa siku 10,then akaruhusiwa je inaweza ikawa imechangia kitu?
Nawasilisha kwenu kwa ushauri asante
angekuwa hakai sawa ila kama anakaa huo in mwili ana asili ya unene tuu ondoa shakaHayo maradhi inaonyesha ndo yamemchelesha lakini itakaza angalia maendeleo yake mpaka miezi sita uone
Aisee...Wa kwangu pia alichelewa kukaza shingo....mtani wangu akaniambia ili ikaze inabidi nimgegede mamake....vp ushamzibua masikio?