Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Toa Ushauri Wafanye Nini UsimlaumuUmeolewa? Kama una mme huo ni uzembe wenu wa kumfanya mtoto a chelewe kukomaa. Mwanangu miezi miwili na nusu lakini shingo ilisha kaza kitaambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa Ushauri Wafanye Nini UsimlaumuUmeolewa? Kama una mme huo ni uzembe wenu wa kumfanya mtoto a chelewe kukomaa. Mwanangu miezi miwili na nusu lakini shingo ilisha kaza kitaambo
Ajibu kwanza kama kaolewa.Toa Ushauri Wafanye Nini Usimlaumu
Poa nimekurupukaMkuu naona kama umekurupuka hivi,rejea thread mtoto aliumwa siku mbili baada ya kuzaliwa,halaf mim ni me
Kwa kawaida watoto wengi huwa wanakuwa wamekaza shingo katika umri wa miezi minne.Habari zenu wanajamvi,
Naomba kueleweshwa kitu, mwanangu ana miezi minne toka kuzaliwa lakini mpaka sasa shingo yake haijakaza je ni kawaida au? Lakini ni mchangamfu sana yuko vizuri ni hilo la shingo tu.
NB: Alipozaliwa aliugua yellow fever akakaa chumba cha joto kwa siku 10, then akaruhusiwa. Je inaweza ikawa imechangia kitu?
Nawasilisha kwenu kwa ushauri asante
Umeolewa? Kama una mme huo ni uzembe wenu wa kumfanya mtoto a chelewe kukomaa. Mwanangu miezi miwili na nusu lakini shingo ilisha kaza kitaambo
Ulitumia tiba gani aseeKabla ya vote je umejaribu kumkalisha at least sekunde tano? kama analia sana,na hakai jitahidi kuwa karibu na daktar hilo tatizo lilishatokea kwenye familia yetu kama halii na anakaa kidogo itakuwa ni unene