Axe kunadhana imejengeka kwa baadhi ya watu kutojihusisha na kazi flani wakiamini kuwa ni za kike. Binafsi nilikuwa naamini kuwa wanao somea u nurse wanawake tyu,hivyo kwenye sekta ya afy wanaume niliamini wanasomea U Doctor tuu!.But now days hii idea inaanza kutoweka taratibu baada ya kuona wanaume wengi waki oppt nursing.
Vipi wewe ni kazi gani ambayo uliamini au jamii unayo ishinayo inaamini kuwa ni ya kike?