Ni kazi gani ambayo ulikuwa ukiamini au bado unaendelea kuamini kuwa ni kike?

Ni kazi gani ambayo ulikuwa ukiamini au bado unaendelea kuamini kuwa ni kike?

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Axe kunadhana imejengeka kwa baadhi ya watu kutojihusisha na kazi flani wakiamini kuwa ni za kike. Binafsi nilikuwa naamini kuwa wanao somea u nurse wanawake tyu,hivyo kwenye sekta ya afy wanaume niliamini wanasomea U Doctor tuu!.But now days hii idea inaanza kutoweka taratibu baada ya kuona wanaume wengi waki oppt nursing.
Vipi wewe ni kazi gani ambayo uliamini au jamii unayo ishinayo inaamini kuwa ni ya kike?
 
Kujifungua mtoto unadhani wewe kidume sio kazi kajaribu basi
 
Back
Top Bottom