Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

Kama kazi ni halali na si ya magendo we piga tu cha muhimu chapaaa.
Kuna zingine either zinachosha sana,zinahatarisha maisha au zinakubana sana kiasi kwamba ni kama unakuwa kifungoni mkuu
 
Back
Top Bottom