dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Ungejua wanavyoinjoi na PM zetu usingesema hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa "mod" wa JF [emoji38][emoji38]
Upagaz ndio kaz ipi mkuuUpagazi
HahahahaUngejua wanavyoinjoi na PM zetu usingesema hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ipo aje hiiKunyanyua mamanzi
Haaaaa na wakati kuna watu wanataman waongeze kumi tenaUraisi.
Kuna zingine either zinachosha sana,zinahatarisha maisha au zinakubana sana kiasi kwamba ni kama unakuwa kifungoni mkuuKama kazi ni halali na si ya magendo we piga tu cha muhimu chapaaa.
Makuwadi hivi wanalipwaukuwadi/gowadi
wanalipwa mkuu kulingana na kwaliti ya pisi π πMakuwadi hivi wanalipwa
Jehova's Witness ama?Mimi kazi ya jeshi,polisi na ualimu...ni BIG NO
Wewe je??
Hahahaha..haya maisha bwanawanalipwa mkuu kulingana na kwaliti ya pisi π π