MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi ya utekaji, uonevu, kupotezwa na kufilisiwa mali au kubomolewa nyumba zako kinyume na sheria ya nchi au uishi katika Tanzania ya furaha chini ya nguli wa sheria Tundu Lissu anayejua haki yako?
Ni kazi kwako kuamua watoto wako waendelee kukosa ajira, Watumishi wadipandishiwe mishahara wala wasipate nyongeza au Tanzania ya Lissu itakayojali stahiki zako?
Ni kazi kwako kuamua watoto wako waendelee kukosa ajira, Watumishi wadipandishiwe mishahara wala wasipate nyongeza au Tanzania ya Lissu itakayojali stahiki zako?