Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara mkubwa unaanzia shilingi ngapi kwanza ?Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?
5 millionMshahara mkubwa unaanzia shilingi ngapi kwanza ?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mshahar mkubwa unatakiwa kuanzia million 205 million
Nimezungumzia kisubsaharan countriesMshahar mkubwa unatakiwa kuanzia million 20
Kuna tofauti gani kati ya Uchawa na Utumwa ?Uchawa.
Eeh ndio...hapo ndio mshahara mkubwa maana hapo ata kuhonga ist unahonga.Nimezungumzia kisubsaharan countries
TRA wazee wa Kodi kijana wa miaka 24 anajenga magorofa Goba hadi watu wanalalamika haujasikia wafanyabiashara wanalalamika ? Miezi miwili tu TRA na wewe unaanza kujenga magorofa MadaleNi kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?
Una mawazo ya kipumbavuEeh ndio...hapo ndio mshahara mkubwa maana hapo ata kuhonga ist unahonga.
Sasa milion tano unawezaje kuhonga ist
Mshahara mkubwa unatakiwa uwe 50millioni kwa mweziMshahar mkubwa unatakiwa kuanzia million 20
Aisee alafu wee sio wa kwanza kusema hivyo hapa jf. I think u guys have noticed something. Itabidi nijichunguze kwa undani. Thanks for the observation. Nitalifanyia kaziUna mawazo ya kipumbavu
Kwa bongo bongo mhm, tulivyo na mihoro mbaya ata kama unastahili bado wanataka kukuminya tuu