Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?

Ub

ubunge, pata miaka yako mitano na uko sorted for the rest of your life!
Hapana aisee, ingekuwa hivyo wagekuwa hawagombei tena kutafuta kipindi cha pili,wale 19 wa Chadema wasingesaliti viongozi wao,maana.wote walishawahi kuwa wabunge. Zile hela sijui zina laana,mbunge akimaliza mitano na asipochaguliwa tena huwa wanafulia sana.
 
wanaendekeza starehe.... hela ikiongezeka na lifestyle nayo inakua ya kifahari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…