Qwi qwi qwiHuyo anaelewa akaanza kutoa matusi basi hata akiupata ujumbe huu bac hataacha kwa sababu akili zinakuwa ni za pombe na sio zake[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh!!unaichukua then unaanza kufanya utafiti wa kisayansi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Unakuta mwanamke mwenye akili timamu anatumia pad halafu anatupa ovyo ovyo.