Ni kero/changamoto zipi unazokutana Nazo ktk maisha ya Kila siku??

Ni kero/changamoto zipi unazokutana Nazo ktk maisha ya Kila siku??

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
466
Reaction score
1,033
Kumekuwa na kero mbalimbali maeneo tunayoishi zikifanywa na watu iwe kwa makusudi au kwakutokujua..Hii fursa yako kutoa dukuduku lako kwa walengwa watakao soma Uzi huu ili wajue kuna watu wanakereka.

1) unakuta MTU kalewa alafu anatoa maneno machafu njia nzima.


Karibuni wadau
 
Huyo anaelewa akaanza kutoa matusi basi hata akiupata ujumbe huu bac hataacha kwa sababu akili zinakuwa ni za pombe na sio zake[emoji23] [emoji23]
 
Unakuta mwanamke mwenye akili timamu anatumia pad halafu anatupa ovyo ovyo.
 
Unakuta mwanamke mwenye akili timamu anatumia pad halafu anatupa ovyo ovyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh!!unaichukua then unaanza kufanya utafiti wa kisayansi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
kuombwa kila siku buku au jero na mtu ambaye hajishuhulishi na kaz yoyote yeye ni misele na kupiga story asubuh hadi jion.
 
Back
Top Bottom