Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimesikia huwa wanasikia mtekenyo kule kwenye tunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
Lakini mbona wanatongozwa sana kwenye foleni za Dar wawapo wanaendesha mikoko yao? Kwa ishara tu huwa wanalazimika kutoa namba zao za simu...........basi tena!!!!!!!
Tunapanda pikipiki kwa sababu kwanza kwa vile zipo zinapatikana kwa bei rahisi, na fasta fasta haziangalii sana foleni,
Duhh mm nikipakia dada kwa tuktuk napenda anishike kiuno tu kama Ubungo- k.koo natumia saa moja
Wanaepuka gharama bwana sasa kama unalipa 500 kwa bajaji ukichukua tax ni 3000 wewe utachukua nini??
Kuna dada aliniambia kwa usafiri huo huwa wako salama zaidi na majaribu, a.k.a kutongozwa tongozwa, kuliko wakitumia taxi
Pikipiki na bajaj zote abiria hukaa nyuma, na nyuma kuna raha yake
Dooh ngoja nikalale mapema leo.Nimesikia huwa wanasikia mtekenyo kule kwenye tunda