WanaJF Nimekaa Tanga kwa muda kama wa Mwaka Mmmoja nilichijifunza kule ni kwamba Wanawake wa kule wanapenda sana Pikipiki yaani ukiwa na ndinga (gari) wewe sio kitu. Nilichogundua ni kuwa wanapenda show Off kwa wanzao waliojikoki na kupumzika vibarazani huku wakisubiri Haruwa na tende. Kuna siku jamaa mmmoja ambaye anaenesha Boda boda Pikipiki akinipa senario Moja ambayo kimsingi ilinipa uhakika zaidi kuwa tanga na pikipiki ni balaa, jamaa akaniamabia kuwa alimpakiza dada mmoja kumtoa Chumbageni kumpupeleka sahare kupitia barabara inayoenda bombo hospital cha ajabu yule dada akamwamuru jamaa apite Taifa road eti kwa kuwa ndio baaraba ina watu wengi na anataka aonekane kule, alivyofika maeneo karibu na Uwanja wa Tangamano demu alimkumbatia jamaa wa bodaboda hadi jamaa akapata mfadhaiko coz alikuwa anafanya kama anapapasa hadi kunako Jembe. Nilihisi pengine jamaa alipakiza Changudoa lakini alinieleza kuwa hiyo ni kawaida kwa watoto wa Tanga ila kila mmoja huwa anakuja na staili yake mwingine akushika mabega, mwingine kiuno, mwingine anakukumbatia basi ili mradi tu aonekane kuwa yupo na anaendeshwa kwenye pikipiki sijui ndo kuonesha mapenzi yalipozaliwa?
Kwa hiyo hali hiyo pengine ndiyo inasambaa ikitokea Tanga na kuenea kwingineko!!