ukiwa tajiri haimaanish ndo unafuraha zaid
Si wote tuko ivo!!!
hayo ya kukosa furaha yatakuandama ikiwa tu kama umedhurumu, Mchawi! ndago, utajiri/Masharti, Jambazi, Korofi km jiwe, Mlevi, Muuaji km jiwe! mchawi mwenye upendeleo km jiwe, Jeuri, Dharau kwa wasio nacho, hutoi kwa Mungu wa kweli acha mungu mzungu!!
unasaidia watu , dhurumati km jiwe!! na ukidhurumu haki za watu hovyo!! hovyo bila huruma then unapendelea hawa wa kundi B'' maksudi!!..hata hao unao wapendelea watakuchukia Sana hutaamini macho yako....
hili la upendeleo wa siri hata ukilifanya kwa siri ipi..... ajabu ya MUngu sasa watu wa level zote huwa wanajua tu! ivo kukuchukia mnoo!! tena hasaaa!! sasa ndo ujue watu bana ni Miungu!
wanachato 60% hawakupenda vitendo vya Jiwe kuwapendelea wao pekee tena waziwazi! wkti wilaya nyingine zinahangaika hata maji ya kunywa hawana!...usiseme eti walimwogopa ndo kariba ya mwana damu! ilivyo!
Ukiwapendela watu kwa haki kabisa kutoka moyoni mwako! bila matabaka... hata bila kutamka watu watalijua hilo kutoka myoyoni mwao!! na watakuunga mkono na utapendwa sana!! hili nilijifunza kutoka kwa Nyerere!! Mwitongo!
unakula nao!! unalia nao panapo maatizo, unakaa na wazee/vijana/watoto, unaheshima kwa wasio nacho! Wamama unapiga nao bega kwa bega siyo Malaya, viwete unawasaidia bila upendeleo!.....anza na maskini zaidi!
Jua kabisa .hao hao ni miungu wameumbwa kwa mfano wa Mungu watakupa Furaha isiyo kifani mpaka uzikimbie kwa Mshangao! kwa kuwa utakuwa una shirikiana na miungu na wale watakao taka kukudhuru habari zitakufikia mapemaaa!!
Hao hao maskini watakupa njia ya kuikwepa hatari!! japo inaweza toka miongoni mwao!! wao wataikabiri hatari hiyo!! sometimes hata kiasi cha wao kupoteza maisha na mpaka uwe hivo tajiri wa level hiyo! unapaswa kuwa na Mungu wa kweli kwanza! na tupo wa ivo!