Mnataka kuanzisha makundi ya kugombania huo mpunga huko kwa mikia, msitaje mkitaja tu mtakiona hawa mafedhuriNingependa kufahamu je!? ni kiasi gani hupatiwa kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi upande wa shirikisho Africa.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Subiri kidogo maafisa wa CAF wako njiani wanakuja kukujibuNingependa kufahamu je!? ni kiasi gani hupatiwa kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi upande wa shirikisho Africa.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Pesa ambayo simba alikuwa anaipata akiingia robo champions league, huku inabidi awe mshindi wa pili.At least ufike nusu fainali pesa ndo inarudi
Naona na TFF wana kapasent kaoPesa ambayo simba alikuwa anaipata akiingia robo champions league, huku inabidi awe mshindi wa pili.
5% kama sikosei, sio mbaya. Sasa wao ndio ilibidi wapambane walau hizi timu zetu 2 ziwe zinafika makundi. Mmoja akitoboa si haba wanapata chochote.Naona na TFF wana kapasent kao