Ni kiasi gani hutolewa na CAF kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi shirikisho?

Ni kiasi gani hutolewa na CAF kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi shirikisho?

..
Screenshot_20220315-201833_Chrome.jpg
 
Naona na TFF wana kapasent kao
5% kama sikosei, sio mbaya. Sasa wao ndio ilibidi wapambane walau hizi timu zetu 2 ziwe zinafika makundi. Mmoja akitoboa si haba wanapata chochote.
 
Back
Top Bottom