Una maana maccm na mbeba maono wao wote ni vichaa.Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Cha mwisho salam kwako mama Abdul, we ndo mastermind wa utekaji nchini na hata kukamatwa kwa lissu ni order kutoka kwako, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ndo maana unauza hovyo Rasilimali za Tanganyika ila kwa Lissu humfikii na sio level zako lissu hana uwezo mdogo kama wako jitafakari sana mama Abdul
Uhakika ๐ฏAisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Kukamatwa kwa Lissu ni order, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ila kwa Lissu humfikii na sio level zako Lissu hana uwezo mdogo
Limewahi siti za juu kabisa๐คฃZezeta hilo hapo juu๐๐
Binafsi mtu yeyote anayepingana na lissu namwonaga sawa na wasaliti tu kwa taifa letu, llissu ni mzalendo wa kweli.Mungu amlinde daima dumuAisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Kukamatwa kwa Lissu ni order, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ila kwa Lissu humfikii na sio level zako Lissu hana uwezo mdogo
Tuliwahi pata mtu kama lissu miaka ya uhuru hadi early years ya serikali ya awamu ya kwanza. It was Kambona. Na endapo Nyerere angesikiliza ushauri wa Kambona miaka ile, leo Tanzania ndo tungekuwa economic power house ya Afrika.Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Kukamatwa kwa Lissu ni order, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ila kwa Lissu humfikii na sio level zako Lissu hana uwezo mdogo
umoja wa vibaka na matapeli waropokaji wa kisiasa, Lazima wataungana katika utakatifu wao wa koropoka gentleman ๐Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Kukamatwa kwa Lissu ni order, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ila kwa Lissu humfikii na sio level zako Lissu hana uwezo mdogo
Acheni uchizi
๐กlissu hana sera za kuweza kuwakamata watu smart.. ukifatilia hotuba zake zimejaa chuki na visasi.. kwa kifupi akipewa nchi hatokuwa na mfumo mpya wa uongozi, atakopa kwa mabeberu vile vile na kugawa rasilimali kwa bei mbuzi sasa si bora waendelee sisemu.. infact mabadiliko ni aje mtu kama jiwe au traore
Siyo tu zezeta, hilo ni bumunda kabisa!Zezeta hilo hapo juu๐๐
......vilaza
Mtu Smart kama nani kwa mfano? Tumejaa na ma elite matapeli machawa ukitumia akili sahihi utamuelewa lakini kama una akili Mnembe huwezi elewa kwakua ni wale wanaoamini ilj ufanikiwe lazima uwe vegetableslissu hana sera za kuweza kuwakamata watu smart.. ukifatilia hotuba zake zimejaa chuki na visasi.. kwa kifupi akipewa nchi hatokuwa na mfumo mpya wa uongozi, atakopa kwa mabeberu vile vile na kugawa rasilimali kwa bei mbuzi sasa si bora waendelee sisemu.. infact mabadiliko ni aje mtu kama jiwe au traore