PreGE2025 Ni kichaa tu ataacha kusapoti anachofanya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm imefanya maisha kuwa magumu sana sana kwa watu mtaani.Yani watanzania hali zao mbayaaa
 
Kabisa hata sisi UVCCM tukiongozwa na Chairman kutoka Visiwani Zanzibar

Tunasaport sema tuu tunaogopa watatuuaaa asee kama mneki wa mkoa wa Mara ndugu yanguu.
 
Inamaana machawa ni vichaa?, Kikikiki
 
ndo umeona umekuja na pointiiii? katawaze ulale, wengine hatutaki lunukiwa, mkakinukishe chooni mkimaliza mjitawaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…