Ni kigezo gani kilitumika kwa mpira wa miguu kuchezwa kwa dakika 90?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
 
Kabla hatujakujibu labda na wewe ungetuambia ni kigezo gani unatumia kwamba dakika 100 zingekuwa Bora zaidi?

Au waweza kutuambia ni kwanini kuku hazai bali anatotoa?
Ni rahisi kugawanya kwa mbili,yaani 50/50
 
Wanaume 22 wamebeba mipira miwili kila mmoja afu wanakimbiza mpira mmoja so hesabu ipo hivi
(22 X 2)+ 1 = 45
Extra time chukua mpira mmoja mmoja pamoja na sub 3
11 +3(sub) + 1(mipira) = 15
Logic ndio hiyo
 
Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
Me mwenyewe najiulizaga ni kigezo gan kilitumika timu kuchezesha watu 11 tu. Kwanini hii idadi?
 
Kabla hatujakujibu labda na wewe ungetuambia ni kigezo gani unatumia kwamba dakika 100 zingekuwa Bora zaidi?

Au waweza kutuambia ni kwanini kuku hazai bali anatotoa?
We mzee bwana wewe.. [emoji23]
 
Mimi idea tu ya watu 22 kukimbiza mpira mmoja wakati mingine iko nje naona kama ni uchizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…