Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hatujakujibu labda na wewe ungetuambia ni kigezo gani unatumia kwamba dakika 100 zingekuwa Bora zaidi?Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
KWANI EXTRA TIME MBAKA DK 120 ZILE NI MPIRA WA MIKONO AU..? 😷Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
ANATAGA🥴anatotoa?
Ili mtoto wa kuku apatikane, kuku ni lazima atotoe. Akitaga wanaa wanaweza kuwahi mayai wakala vyepe fastaANATAGA🥴
Kwani 90 hazigawanyiki kwa mbili ukapata 45/45Ni rahisi kugawanya kwa mbili,yaani 50/50
Me mwenyewe najiulizaga ni kigezo gan kilitumika timu kuchezesha watu 11 tu. Kwanini hii idadi?Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
We mzee bwana wewe.. [emoji23]Kabla hatujakujibu labda na wewe ungetuambia ni kigezo gani unatumia kwamba dakika 100 zingekuwa Bora zaidi?
Au waweza kutuambia ni kwanini kuku hazai bali anatotoa?
Unajiskiaje upo kibanda umiza Unaangalia Yanga anacheza dakka 100😬😬😬😬Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,