McDonath
Senior Member
- Jan 2, 2018
- 110
- 105
Habari wana jamvi???
Nimeamua nije na hii thread leo ili kwa wajuzi mpate kutufahamisha ili wengine tupate kuelewa juu ya kigezo cha kumpata mchezaji kinda bora wa EPL kwa msimu wa 2018/19
List ni kama ifuatavyo
Raheem Sterling(Man City)
Bernado Silva(Man City)
David Brooks(Bournemouth)
Marcus Rashford(Man United)
Declan Rice(Westham United)
Trent Alexander Anorld(Liverpool)
Ukiiangalia hiyo list utagundua wachezaji kama Sterling,Silva na Rashford ni wachezaji ambao wana uzoefu wa kutosha imekuwaje wapo hapo ni kigezo gani kimetumika kuwajumuisha kwenye kinyang'anyiro hiki??
Naomba msaada wenu wanajamvi nahitaji kujua
Ahsanteni