Ni kigezo gani kimetumika kuipata Nominees ya Young Player of The Year EPL??

Ni kigezo gani kimetumika kuipata Nominees ya Young Player of The Year EPL??

McDonath

Senior Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
110
Reaction score
105
Habari wana jamvi???

Nimeamua nije na hii thread leo ili kwa wajuzi mpate kutufahamisha ili wengine tupate kuelewa juu ya kigezo cha kumpata mchezaji kinda bora wa EPL kwa msimu wa 2018/19

List ni kama ifuatavyo
Raheem Sterling(Man City)
Bernado Silva(Man City)
David Brooks(Bournemouth)
Marcus Rashford(Man United)
Declan Rice(Westham United)
Trent Alexander Anorld(Liverpool)

Ukiiangalia hiyo list utagundua wachezaji kama Sterling,Silva na Rashford ni wachezaji ambao wana uzoefu wa kutosha imekuwaje wapo hapo ni kigezo gani kimetumika kuwajumuisha kwenye kinyang'anyiro hiki??

Naomba msaada wenu wanajamvi nahitaji kujua
Ahsanteni
 
Young (udogo - miaka ) na Uzoefu (experience) ni sawa.. ? huwezi kuwa young na experience na old inexperienced ?
Vigezo vipo kwenye title Young Player of the Year, sio Inexperienced Player of the Year
 
Mchezaji asiwe miaka 23 msimu unapoanza
 
Young (udogo - miaka ) na Uzoefu (experience) ni sawa.. ? huwezi kuwa young na experience na old inexperienced ?
Vigezo vipo kwenye title Young Player of the Year, sio Inexperienced Player of the Year
Jibu zuri sana nimelipenda mkuu
 
Rahim starling kila msimu ni young player tu

au ni forever yang?

ni kama mbappe kila mwaka ana miaka 19
 
Haka ka Raheem kitambo kapo kwenye soka, kumbe kalianza soka kakiwa kadogo sana!!! Huku kwetu kina Yohana Mkomola bado kidogo wataitwa 'veterani'!
 
Back
Top Bottom