Ni kigezo gani kinatumika kwachagua wanawake wakuu wa wilaya uzuri au elimu yao?

JT2014

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
1,863
Reaction score
1,368
Habari zenu wana jf
Nimekuwa nikitazama mara kwa mara kwenye picha mbalimbali
za vyombo vya habari nikagundua wanawake wengi wakuu wa wilaya
na wabunge wa viti maalum karibia wote ninaowafahamu ni wazuri wa sura
Ninajiuliza hivi ni kweli hakuna wanawake wasomi wenye sura kama yangu
wanaofaa hizo nafasi.
Huenda nimeangalia vibaya ,lakini kama niko sahihi basi tupia ushauri ili
wahusika wafanyie kazi
Nawasilisha.
 
Unauliza makofi polisi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ukiona manyoa kashaliwa ndo umeishachelewa
 
Unauliza makofi polisi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu hebu fafanua,maana polisi nao hawatakiwi kumpiga mtuhumiwa kabla mahakama haijathibitisha kama ana kosa
labda awe mbishi kutii amri ya polisi,hapo ndo watumie nguvu,
sasa je na kwenye uteuzi huu kuna kifungu kinachoruhusu kutumia nguvu?
 
Kaka unauliza jibu? Ulisha ona mapesonal sekretari wa vigogo wengi sura zao? Sura ndio housing ya simu,hata kama betri mbovu kama housing ikopoa, simu itanunuliwa fasta. Tizama watangazaji wengi wa Tv, utaona ni wale wenye sura njema,akina Wema Sepetu sura imembeba pale East African Tv, wala sio shule kwani anashahada ngapi za mass com? Sura ndio kila kitu kwa mtoto wa kike cha pili ni kalio. Akikosa sura awe na kalio la maana. Pia shule inamsaidia kumuexpose kwa vigogo, awe na kashule ka uongo na kweli, sura njema na kalio la kumwaga, kazi anapata hata TRA. Hata mimi namuajiri wa hivyo, namtimua mdada yeyote ambae sura na shape yake havieleweki, wapi kiuno wapi kalio.
 
Acheni fikra potofu,sura ya mtu inauhusiano gani na mtu kupata kazi?mbona mkeo ana sura nzuri lakini si mkuu wa wilaya?
 
Utabisha sana lakini ukweli ndio huo. Sura na umbo la mwili yaani body morphology kwa mwanamke vinahamasisha vigogo wawape kazi. Tambua kuna competition hivyo mwanamke anapaswa kuwa peculiar ili aweze kuwa favoured. Elimu ni kama ngazi inayo wasaidia mabinti warembo kujianika na kuonwa kwa urahisi na wadau wa mambo haya. Najua inauma lakini ndio hali halisi kwa hapa Tz.
 
Acheni fikra potofu,sura ya mtu inauhusiano gani na mtu kupata kazi?mbona mkeo ana sura nzuri lakini si mkuu wa wilaya?
Mkuu mimi nataka kujua sababu huenda sio sura,tupe vigezo vinavyozingatiwa.maana tunaamini binadamu wote ni sawa
mbona ktk hili usawa hatuuoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…