JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,368
Habari zenu wana jf
Nimekuwa nikitazama mara kwa mara kwenye picha mbalimbali
za vyombo vya habari nikagundua wanawake wengi wakuu wa wilaya
na wabunge wa viti maalum karibia wote ninaowafahamu ni wazuri wa sura
Ninajiuliza hivi ni kweli hakuna wanawake wasomi wenye sura kama yangu
wanaofaa hizo nafasi.
Huenda nimeangalia vibaya ,lakini kama niko sahihi basi tupia ushauri ili
wahusika wafanyie kazi
Nawasilisha.