ni kijana ana tatizo la hernia:

ni kijana ana tatizo la hernia:

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
hernia na ni moja ya vijana wanaopanda mlima kilimanjaro, nimekutana nae akaniomba ushauri kwani kuna wangine wanamwambia ana hatari ya kifo,wengine anadai walifikia hatua ya kutaka aachane na mpango wake huo wa kuendelea na shughuli zake za kubeba mizigo za watalii kupandisha mlima kilimanjaro,,,,kimsingi ni kijana ambae kwa njinsi ninavyomjua ana majukum ya kulea familia yao na aliniomba msaada wa kimawazo nikakoswa cha kumwambia...swali lake ni eti baridi inaweza kunidhuru mimi mwenye hernia? pili au mzigo ndo tatizo? wataalum ni vizuri mkatoa maani yenu sisi kazi zetu credit and debit
 
Back
Top Bottom