Ni kijikamua kunya manii hutoka je ni ugonjwa au kawaida?

Ni kijikamua kunya manii hutoka je ni ugonjwa au kawaida?

Acha kutukana hata mzaha ni sehemu tu ya maoni, chambua kile kilichobora kifanyie kazi. Subiri wenye uelewa na tatizo lako watakuja kukushauri.
 
kunywa maji mengi sana na mapapai kulainisha choo mkuu..
 
Duh...nahisi una ukame...tafuta mwenza fasta. Vigezo na masharti uzingatie lakini
 
Hapa ngoja nimuite Mzizi mkavu
Habari Ruttashobolwa? Mkuu.@kazuramimba hiyo sio Manii hiyo ni Madhii ni ute unao fanana na Manii lakini sio manii. Manii ni ile

unayotowa wakati wa tendo la ngono au tendo la kupiga Punyeto hiyo inayotoka wakati wa kwenda haja

kubwa kwa njia ya kujikamuwa inaitwa Madhii sio manii na ni kawaida mbona mimi inanitokea na wala sio

ugonjwa ni kitu ya kawaida kutokea kwa kila Mwanamme ambaye hujafanya siku nyingi tendo la ngono usijali ondosha wasiwasi mkuu
 
Pia husababishwa na kama unatumia dawa za antibiotics kama ampiclox huku ukiwa na ukame.
 
Hiyo hatuwezi sema ni wet dream, maana inatokea ukiwa macho meupe huko msalani. Ninahofu hizo siyo manii, ni usaha, umeambukizwa magonjwa ya ngono, na yamefikia chronic stage. Kimbia hospitali pamoja na mwenzi / wenzi wako mukapate huduma. Please!!!
 
labda manii zatoka akijiminya kutoka njia ya haja, kama ni hivyo m-consult camerun n co!
 
mkuu nafikiri una tatizo la maambukizi katika tezi za ndani pindi, pindi upatapo tiba litakwisha , wahi hospital
 
inaonyesha wewe huwa unafanya michezo mingine,sasa pale kitu kinapo kutoka kwenye hiyo njia huwa unaimagine penetration,automatically unapata muhemko!
 
Hiyo hatuwezi sema ni wet dream, maana inatokea ukiwa macho meupe huko msalani. Ninahofu hizo siyo manii, ni usaha, umeambukizwa magonjwa ya ngono, na yamefikia chronic stage. Kimbia hospitali pamoja na mwenzi / wenzi wako mukapate huduma. Please!!!
Mkuu Mama Mdogo jamaa angalisema anapo kojoa anaona kitu cheupe kinatoka na uume wake unauma kisha ndio anatoa mkojo

hapo tungelisema ni usaha lakini anatoka kitu mfano wa manii wakati anapokuwa anatoa haja kubwa kwa

kujiminya hiyo sio usaha bibie umekosea hapo. Kutoa kitu cheupe wakati wa kujiminya kwa kutoa haja kubwa ule

ute tunauita ni madhii sio manii wala sio usaha kwa Mwanamme yoyote yule ambaye hajafanya tendo la ngono

muda mrefu inaweza kumutokea sio maradhi ya zinaa ni kitu cha kawaida ila anaweza kwenda pia Hospitali

kupata ushauri zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom