Ni kilevi kipi kisichokuwa na madhara kwa watoto wa chini ya mwaka mmoja?

Mkuu nakushauri uendelee kuteseka hivyo hivyo kuna muda hayo yote yatapita. Ndio changamoto ya kulea.

Sikushauri utumie kilevia au medication yoyote kwaajili ya usingizi wa wanao (hasa hasa valium). Usisikilize ushauri wa wajinga.

Jitahidi mchana wape michezo mingi wacheze wachoke usiku inakuwa sio kazi kulala.
 
Well said
 
Hiyo kazi ya kuamka na kubembeleza watoto usiku umeshamzoesha mkeo kwa hiyo amka ubebembeleze mambo ya kuwapa sijui vidonge walale haukulamishwa kutia mimba,wakilia mwamshe mwambie watoto wanalia.
 
Vilevi vipo vingi tu wape K can't, konyagi hata bia, watalala hadi utafurahi mwenyewe
 
Hao muwe mnawacheck mkiona wanalia sana ujue kuna jambo either wanaumwa au kuna hali isiyo ya kawaida twins huwa wana majaribu sana, pia jaribuni kuwaogeshea magadi ka unayafahamu, yatawasaidia nimeona watoto wengi wakifanyiwa hivo
 
Sio kwa hawa mkuu, hawa hawakosi sababu ya kulia hata uwaogeshe mda huo na kuwapa menyu wakashiba, watalia na hawatalala na wakilala haipiti nusu saa kwa mchana
Pole mkuu hzo ndo changamoto za ulezi na wazazi wetu walituvumilia hebu ulizeni huko kwenye familia yenu kulikuwa na hyo behavior, mi mwenyewe nikiwa mtoto nilikuwa kilizi ili nilikuja kuacha nikiwa msingi, so nendeni mkawacheck na afya
 


Ziwa la Mama na ndiyo maana mtoto ananyonya huku akisinzia.
 
Ahsante mkuu
 
Pole mkuu hzo ndo changamoto za ulezi na wazazi wetu walituvumilia hebu ulizeni huko kwenye familia yenu kulikuwa na hyo behavior, mi mwenyewe nikiwa mtoto nilikuwa kilizi ili nilikuja kuacha nikiwa msingi, so nendeni mkawacheck na afya
Hahahaaa, sawa!
 
Mbege ni safi sana hiyo...ile tamu tamu ambayo bado haijawekwa kimea!
 
Labda nikuekee hii picha utaelewa, haina haja ya watoto wako kuvipiga konyagi, yani masaa ya watoto kupumzika na kupiga mayowe ndiyo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…