Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Duh!!!MIMI NIMESHAWAHI KUMEZA VALLIMU 70...NA BADO NADUNDA..NILILALA MWEZI MZIMA...KWAHIYO KWA MTOTO MPE NUSU KIDONGE.
[emoji106]Mkuu nakushauri uendelee kuteseka hivyo hivyo kuna muda hayo yote yatapita. Ndio changamoto ya kulea.
Sikushauri utumie kilevia au medication yoyote kwaajili ya usingizi wa wanao (hasa hasa valium). Usisikilize ushauri wa wajinga.
Jitahidi mchana wape michezo mingi wacheze wachoke usiku inakuwa sio kazi kulala.
Mkuu unafahamu kuwa cough syrups zote zina codeine? Ingia google utafute "Sweet sweet codeine uone madhara ya hizi dawa za vikohozi huko Nigeria baada ya kutumiwa kama kilevi. Ni bora hata pombe. Kama unampaga mtoto kupita kiasi, tafadhali acha mara moja.Pole. Tafuta dawa ya kikohozi ya watoto, Mfano wa Koflyin...
Ukiwapa kijiko kimoja, watalala fofofo mpaka kesho yake wakija kuamka watakuta umeshaenda kazini...
Kila kitu kikizidi, ni madhara. Hata ukila maharage mengi utavimbiwa!Mkuu unafahamu kuwa cough syrups zote zina codeine? Ingia google utafute "Sweet sweet codeine uone madhara ya hizi dawa za vikohozi huko Nigeria baada ya kutumiwa kama kilevi. Ni bora hata pombe. Kama unampaga mtoto kupita kiasi, tafadhali acha mara moja.
Mimi mdogo wangu alikuwa na tabia hizo kipindi mdogo Mzee wangu akampa Konyagi hadi sasa yuko safiiii.
Jaribu konyagi mkuu.