Ni kilevi kipi kisichokuwa na madhara kwa watoto wa chini ya mwaka mmoja?

Ni kilevi kipi kisichokuwa na madhara kwa watoto wa chini ya mwaka mmoja?

Mbege haina madhara yoyote
Cha muhimu wape kidogo tu
 
Mkuu pole, huo ndo ulezi, ukiona wanalia sana ujue kuna tatizo kama sio chakula basi usafi, lakini pia sometimes unakuta mtoto anaumwa kwa ndani wewe huwezi kujua, kuna mtoto aliwahi kuwatesa wazazi flani wakahangaika sana baadae wakaja kujua mtoto anauvimbe ndani ya sikio hapo ni baada ya kuzunguka sana, mtoto alikua analia mpaka unahisi uchungu.

Au wakati mwengine huenda ni mambo ya kurithi kutoka kwako au kwa mkeo.

Kulea watoto kunataka moyo mweupe sana Mkuu. Vumilia!!!
 
Mkuu nakushauri uendelee kuteseka hivyo hivyo kuna muda hayo yote yatapita. Ndio changamoto ya kulea.

Sikushauri utumie kilevia au medication yoyote kwaajili ya usingizi wa wanao (hasa hasa valium). Usisikilize ushauri wa wajinga.

Jitahidi mchana wape michezo mingi wacheze wachoke usiku inakuwa sio kazi kulala.
[emoji106]
 
Acha ujinga, kama vipi wape thiodan wakiamka walah natembea bila nguo
 
Pole. Tafuta dawa ya kikohozi ya watoto, Mfano wa Koflyin...
Ukiwapa kijiko kimoja, watalala fofofo mpaka kesho yake wakija kuamka watakuta umeshaenda kazini...
Mkuu unafahamu kuwa cough syrups zote zina codeine? Ingia google utafute "Sweet sweet codeine uone madhara ya hizi dawa za vikohozi huko Nigeria baada ya kutumiwa kama kilevi. Ni bora hata pombe. Kama unampaga mtoto kupita kiasi, tafadhali acha mara moja.
 
Kila kitu kikizidi, ni madhara. Hata ukila maharage mengi utavimbiwa!
 
Back
Top Bottom