Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 669
- 846
Habari wadau! naombeni ushauri juu ya kilevi kisichokua na madhara kwa watoto chini ya mwaka mmoja!
Niko na watoto twins wamezaliwa january ila ni wakorofi kweli kweli, hawapendi kulala, hawapendi kukaa kimya mda mwingi ni kulia tu bil sababu
Nalala sa 6 usiku kila siku na kuamka ni sa11,, siku wakiamua wanatoboa hadi alfajiri hakuna kulala!
Nmechoka sana, macho yangu ni mekundu ka mwanga sababu ya usingizi,, nmechoka mda wote na mke wangu ndo usiseme!
Nmewaza nianze kuwapa kilevi ili atleast wawe wanalala usiku nasi tulale,, ushauri ni kilevi gan kinaweza kuwa hakina madhara kwao niwe nawapa walale dah!
Povu ruksa ila matusi hapana! karibuni kwa ushauri