Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Nyuki yake soda wakati nzi kwenye bia ndio maala pake lakini ikiwa usiku itakua tabu kidogo kukutana na hawa jamaa... sijui meza yenu ilitembelewa na nini hiyo jana?Nyuki wanafata kinywaji gani na nzi kinywaji gani? Umenifanya nikumbuke wadudu waliokuwa kwenye meza yetu jana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe! Meza ilichafuliwa na vinywaji vya aina zote hivyo nyuki na nzi walikuwa wanapiga vikumbo tuHahah!! Nyuki yake soda wakati nzi kwenye bia ndio maala pake lakini ikiwa usiku itakua tabu kidogo kukutana na hawa jamaa... sijui meza yenu ilitembelewa na nini hiyo jana?
Cocktail haikuepo? maana mngekumbana na mendeKumbe! Meza ilichafuliwa na vinywaji vya aina zote hivyo nyuki na nzi walikuwa wanapiga vikumbo tu