Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

We ni me au ke??? Unakunywaje zanzi???? Unataka kulegeza nini??

Nikitoka nakamata yafuatayo.
1. Maji makubwa na glass.
2. Soda pepsi/mirinda nyeusi na glass.
3. Castle light napiga tarumbeta.
4. Serengeti lite napiga tarumbeta.
5. Windhoek napiga tarumbeta.
6. Muwa aka k vant na maji...
7. Konyagi gubapa na maji.
8. Jack Daniel na maji...
9. Grants na maji....
10. Juice glass 6.

Nikitoka kimoja au viwili kati ya hivyo vitatekete kwenye koo mujarabu...
 
IMG_0808.JPG
 
Nyuki wanafata kinywaji gani na nzi kinywaji gani? Umenifanya nikumbuke wadudu waliokuwa kwenye meza yetu jana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Nyuki yake soda wakati nzi kwenye bia ndio maala pake lakini ikiwa usiku itakua tabu kidogo kukutana na hawa jamaa... sijui meza yenu ilitembelewa na nini hiyo jana?
 
Hahah!! Nyuki yake soda wakati nzi kwenye bia ndio maala pake lakini ikiwa usiku itakua tabu kidogo kukutana na hawa jamaa... sijui meza yenu ilitembelewa na nini hiyo jana?
Kumbe! Meza ilichafuliwa na vinywaji vya aina zote hivyo nyuki na nzi walikuwa wanapiga vikumbo tu
 
Back
Top Bottom