Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sitaki uwe wa pombe kali ,sitaki uwe wakulewa , sitaki uwe wakuongea usichokielewa ,sitaki uwe wakutembea unayeyumba,sitaki uwe wakutumia pombe km sehem yakuondoa mawazo.Banana
Gongo itanitosha babyHahahaha next date unataka nikuandalie nn mama yangu ?? Sema sema moyo na kila kitu vipo kwaajili yakukupa raha.
[emoji23][emoji23] umejua nichekeshaSitaki uwe wa pombe kali ,sitaki uwe wakulewa , sitaki uwe wakuongea usichokielewa ,sitaki uwe wakutembea unayeyumba,sitaki uwe wakutumia pombe km sehem yakuondoa mawazo.
Mimi mtaalamu wako nakuambia Pombe nipombe , nakuitaji tuzeeke wote babykins wangu
Hayo nikitanywa ninatafuta lawamamaziwa fresh
Hahahaha nilishakuambia mm nimzee wamajuto .[emoji23][emoji23] umejua nichekesha
Hapana ninakupenda sana kiasi kwamba Afya yako ndio chanzo chamm kuendelea kupumua.Gongo itanitosha baby
Umesahau busaa...mkangafu...na mnaziChibuku
Chang'aa
Komoni
Mbege
Dengerua
Ulanzi
Lubisi
Chimpumu
Pingu
Kweli mkuu Charaxes, angalau wewe tunaweza kuongea lugha mojaUmesahau busaa...mkangafu...na mnazi
Kweli kabisaSmirnoff ice black narefersh nikiwa kazini
Safari ya kopo nikiwa sina hela nna hamu ya kunywa
Jameson nikiwa home
Guiness nikiwa bar
Heinken nikiwa viwanja vya kijanja
Hennessy nikakaa mkao wa deal au wa mipango na maDon
MagicMoments nikitaka kumtafuna demu ambae anajifanya hapendi harufi kilaji
Tall Horse wine yangu ya home
Pombe raha sana haswa ukiinywa kwa mpangilio