Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Sitaki uwe wa pombe kali ,sitaki uwe wakulewa , sitaki uwe wakuongea usichokielewa ,sitaki uwe wakutembea unayeyumba,sitaki uwe wakutumia pombe km sehem yakuondoa mawazo.

Mimi mtaalamu wako nakuambia Pombe nipombe , nakuitaji tuzeeke wote babykins wangu
 
***** wallah maisha haya matamu kisenge aisee
 
Sitaki uwe wa pombe kali ,sitaki uwe wakulewa , sitaki uwe wakuongea usichokielewa ,sitaki uwe wakutembea unayeyumba,sitaki uwe wakutumia pombe km sehem yakuondoa mawazo.

Mimi mtaalamu wako nakuambia Pombe nipombe , nakuitaji tuzeeke wote babykins wangu
[emoji23][emoji23] umejua nichekesha
 
Nilikutana na msela kitaa, alikuwa child hood friend wakati huo walikuwa na baiskeli watoto wa ushuani, mchizi ameshindwa kusoma, bangi aliianza boarding school.
Tumekutana katikati ya jiji, nikamwambia twende tukale, nilijua pesa mkononi atanunulia bangi.
Waiter aliuliza mnakunywa nini, jamaa alimjibu mimi maji tu mshirika starehe yangu bangi .
Nilichoka.
 
Smirnoff ice black narefersh nikiwa kazini
Safari ya kopo nikiwa sina hela nna hamu ya kunywa
Jameson nikiwa home
Guiness nikiwa bar
Heinken nikiwa viwanja vya kijanja
Hennessy nikakaa mkao wa deal au wa mipango na maDon
MagicMoments nikitaka kumtafuna demu ambae anajifanya hapendi harufi kilaji
Tall Horse wine yangu ya home

Pombe raha sana haswa ukiinywa kwa mpangilio
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom