Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Mida yetu ilee ya karibia na kuamsha popo
[emoji23][emoji23][emoji23] eti kuamsha popo..

Alafu hizi fujo tunazofanya kwenye nyuzi za watu bila kua na kibali sio, itabidi tuanzishe uzu wetu tu [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahh watokwa povu hawajaamua tu
 
Mi napiga ile ngumu kumeza kwa Mama Kibonge au nikiwa mitaa ya Kariakoo naingia pale DDC kupiga Mwamba a.k.a Iguge
 
Ndiwooooooo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jana nilikuita kwenye thread ya mzigua sijui haujapata notification
Bora wasije tu maana naogopa sana mapovu.

Sijapata notification aisee ilikua mida gani hiyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti unaogopa sasa na sie tunaoquotiwa tunajiuza [emoji3][emoji3] ilikuwa usiku
 
Usiniambie....

Ngoja nikufate huko huko
 
20180324_185046.jpg

Jack the great...
 
Back
Top Bottom