Ni kiongozi yupi aliyepisha kontena 70 bandarini bila kulipa ushuru?

Ni kiongozi yupi aliyepisha kontena 70 bandarini bila kulipa ushuru?

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima kwenu wanajamvi,

Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole alinukuliwa akimtuhumu kiongozi mmoja aliyetaka kupitisha makontena 70 narudia makontena 70 bila kulipa kodi stahiki.

Mbaya zaidi, eti kiongozi huyo kanuna, kakasirika, au ukipenda kasusa.

Sasa najiuliza ni kwanini Kiongozi huyo hakuchukuliwa hatua stahiki na kufikishwa mahakama ya mafisadi kwa makosa ya kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha.

Mokotena 70 ni mengi sana; kwanini 'Dr., Professor' Polepole asitutajie au na yeye anamwogopa?

Ngongo kwasasa mitaa ya Lumumba nikitokea Dodoma, White House.
 
Umeondosha sifuri moja eegh!!! Atakua nanihii huyo, yule white mwenye mashavu....ila CCM wanatuchezea akili sana.

Kitochi Original
 
Back
Top Bottom