Kama wote tujuavyo mwanachato alikuwa mtu wa kujilipua kuongea chochote bila kuhofia madhara yatakayomkuta kwa kufanya hivyo
Mfano mzuri ni pale alipoamua kujilipua na kuyapima virusi vya korona mapapai,mbuzi na oil,pia alipoamua kuzipondea hadharani barakoa za wazungu na badala yake kuwataka watanzania washone za kwao hata kwa kutumia sidiria
Sasa kwa hii vita ya Urusi dhidi ya Ukraine je mpaka sasa angekuwa hajatamka maneno ambayo yangemfanya kumulikwa na magazeti ya Dunia nzima kama ilivyokuwa kipindi kila cha korona