Ni kipi bora ambacho Nyerere hakuna wa kumlinganisha nae hadi sasa?



Oya Marcostilone ngoja yule jamaa aone huu uzi😁😁

Anyway,

Tofauti na kuwa mhanga wa itikadi za MARXISM zilizoletea mfumo wa uchumi mbovu, nachomkubali huyu mzee alikiri kukosea katika sera za utaifishaji na pia hakuwa na image ya kiongozi mlafi coz tulijionea kwake na tunajionea tena kwa watoto wake ambao maisha yao ni ya kawwaida, hawaishi fastlife.
 
Alikataa kuchimba madini wala Gesi, Aliona bora asomeshe watoto labda, Akiwa na wasomi wa kutosha tungechimba madini kwa namna ambavo tungefaidika zaidi.

Kumbe rahaula πŸ˜€ bora angejichimbia tu labda ujamaa ungefanikiwa kidogo.
 
Kuunganisha makabilia 120 bila migogoro na kuwa kitu kimoja.
Nyerere alijenga TAIFA.

Unatoka Lindi, unahamia Tanga, unapewa kiwanja unalima na unafanya biashara, hata uongozi utapewa.

Huhangaiki na lugha, Kiswahili kipo.


Hakuwa na TAMAA.

Utajiri wote wa UMMA kama MADINI, ARDHI, MISITU, aliuacha mikononi mwa UMMA.
 
Nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri na alikuwa na vingi kuwazidi hawa wahuni. Kwanza ile vision ya kuona mambo ilikuwa top. Halafu alikuwa ni mtu wa kujenga hoja

We fikiria usanifu wa bwawa la Nyerere ulufanyika Kipindi chake.

Huyu jamaa alikua anawaza mbali mno, kama asinge uziwa ujamaa na wachina, basi tungekua mbali sana kiuchumi.
 
Seen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…