Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Mbona waliomuuzia ujamaa wao wako mbele mita 800We fikiria usanifu wa bwawa la Nyerere ulufanyika Kipindi chake.
Huyu jamaa alikua anawaza mbali mno, kama asinge uziwa ujamaa na wachina, basi tungekua mbali sana kiuchumi.
Kutuachia katiba mbovu ambayo inamfanya rais kuwa mungumtu na hilo li chama lake la majangiri ccm-Kuunganisha makabira
-kuuchukia ufisadi kwa maneno na vitendo
Mbona waliomuuzia ujamaa wao wako mbele mita 800
Kabisa mkuu. Naunga mkono. Huyu hapaswi kuwa kwenye kundi la binadamu.Ktk hao wahuni samia inabidi atolewe aundiwe kundi lake la peke yake sasa sijui litaitwaje.
Ana ubaya wake lakini thread umeuliza ubora wakeKutuachia katiba mbovu ambayo inamfanya rais kuwa mungumtu na hilo li chama lake la majangiri ccm
mzaramo hawezi kutoka Pwani na kwenda kuishi Kagera, akaweza kuishi kwa amani. Lazima atabaguliwa.Unatoka mwanza unaenda ruvuma unaishi kama uko mwanza bila bughudha yoyote unaoa Kilimanjaro unaenda kuishi mbeya bila shida
Unatoka mbeya unaenda mwanza unaanzisha biashara bila tatizo
Hao wazaramo au watu wa pwani naona ni uvivu tu wa kutokutaka tu kwenda mikoa mingine iweje haya Makabila mengine yatapakae kila mahali isipokuwa watu wa pwanimzaramo hawezi kutoka Pwani na kwenda kuishi Kagera, akaweza kuishi kwa amani. Lazima atabaguliwa.
Kuna baadhi ya Jamii tena za makabila makubwa makubwa hapa Tanzania zinapenda kuwasiliana kwa lugha za makabila yao kuliko kutumia Kiswahili tena kwenye mazingira yaliyo na mchanganyiko wa watu kutoka makabila mbalimbali.
Mimi huwa siangalii upande mmoja mkuuAna ubaya wake lakini thread umeuliza ubora wake
Kagera imejaa wenyeji wa Kagera, hata wazurulaji wa kichaga wameshindwa kuji establish kanda hiyo.Hao wazaramo au watu wa pwani naona ni uvivu tu wa kutokutaka tu kwenda mikoa mingine iweje haya Makabila mengine yatapakae kila mahali isipokuwa watu wa pwani
Je lindi, mtwara ,takavi , rukwa mbona pia wachaga hawapendi kwenda huko?Kagera imejaa wenyeji wa Kagera, hata wazurulaji wa kichaga wameshindwa kuji establish kanda hiyo.
Sababu kubwa ni kwamba wenyeji wa Kagera ni wabaguzi
Watu wa huko nao changamoto. Niliwahi kukutana nao shuleni. Ukifika ule muda wa kula wao wanajikusanya pamoja kama kumbikumbi wote waliotoka mikoa ya kusini.Je lindi, mtwara ,takavi , rukwa mbona pia wachaga hawapendi kwenda huko?
Ngoja ninyamaze mkuu kagera Kilimanjaro kigoma Mhhhh! Ngoja niishie hapaKagera imejaa wenyeji wa Kagera, hata wazurulaji wa kichaga wameshindwa kuji establish kanda hiyo.
Sababu kubwa ni kwamba wenyeji wa Kagera ni wabaguzi
ONgoja ninyamaze mkuu kagera Kilimanjaro kigoma Mhhhh! Ngoja niishie hapa
Huo ni mtazamo wako tu hivyo siupingi.Sjku ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua nini Nyerere alifanya.
Hii haiwezi kuwa hoja.Huo ni mtazamo wako tu hivyo siupingi.
Maoni yako nimeyaona. Kwa upande wako Nadhani ni sahihi kusema hivyo hiyo haki unayo.Hii haiwezi kuwa hoja.
Ni kama mtu aliyeachama tu na kutoa maneno.