ni kipi chuo bora kabisa cha teknologia ya computer tanzania?

ni kipi chuo bora kabisa cha teknologia ya computer tanzania?

CHOCKSTIC

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
474
Reaction score
255
wadau kwanza nabisha hodi jukwaani.naomba mnikaribishe.nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea humu JF kwa muda bila kuchangia chochote,si kwamba nilikuwa sioni cha kuchangia,bali nilikuwa nalisoma jukwaa kabla ya kukurupuka.nimetafakari na kugundua hili jukwaa lina manufaa makubwa kwa jamii likitumiwa vizuri,kufupisha hii mada isiwe ndefu ikawachosha naomba wana JF mnikaribishe nami niwe mmoja wenu.kwa kuanzia naomba msaada wa kujua ni chuo gani kiko vizuri katika field ya technohama?kiasi kwamba mtu akimaliza chuo anakuwa expert katika field hiyo badala ya kuwa tu na elimu ya kukariri kwa ajili ya kufanyia mitihani?ni hayo tu kwaleo,ahsanteni.
 
kichwa chako cha habali na maelezo tofauti.......huku unazungumzia chuo....huku unaongelea watu wakukaribishe jukwaani hebu nenda kajipange
 
The upcoming 'Teknob@se Training College' wanajitahidi sana hasa katika Mobile Engineering, network na hardware engineering
 
The upcoming 'Teknob@se Training College' wanajitahidi sana hasa katika Mobile Engineering, network na hardware engineering

Hiki chuo 'Teknob@se Training College' kiko Dar au?naomba msaada hapo mkuu.
 
wadau bado niko njiapanda,maana vimetajwa vyuo sita tofauti.
 
Kasome techo brain chuo kizuli sana jamaa wana oracle,cisco na microsoft certification
 
coict kimeaanza lini na kiko wapi mkuu?

CoICT- College of information and communication technology, progra kama tele eng and computer eng and it tech zimeondelewa coet wameungana na ile school Ict wakaform CoICT.
 
Back
Top Bottom