wadau kwanza nabisha hodi jukwaani.naomba mnikaribishe.nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea humu JF kwa muda bila kuchangia chochote,si kwamba nilikuwa sioni cha kuchangia,bali nilikuwa nalisoma jukwaa kabla ya kukurupuka.nimetafakari na kugundua hili jukwaa lina manufaa makubwa kwa jamii likitumiwa vizuri,kufupisha hii mada isiwe ndefu ikawachosha naomba wana JF mnikaribishe nami niwe mmoja wenu.kwa kuanzia naomba msaada wa kujua ni chuo gani kiko vizuri katika field ya technohama?kiasi kwamba mtu akimaliza chuo anakuwa expert katika field hiyo badala ya kuwa tu na elimu ya kukariri kwa ajili ya kufanyia mitihani?ni hayo tu kwaleo,ahsanteni.