Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

Itakuwa umeoa karibu na kwenu,utoke dar alafu useme nakaa sa 12 jioni hadi sa mbili usiku
Huwa napita naacha gari parking ndo naenda...hapo nawaambia nimeona nipite nisalimie. Hapo Nina zawadi na mengineyo. .. natoka nachomoa gari natembea km 24...nalala kesho naendelea na safari kurudi
 
Itakuwa umeoa karibu na kwenu,utoke dar alafu useme nakaa sa 12 jioni hadi sa mbili usiku
Sasa we ukweni unakaa zaidi ya masaa mawili kufanya nini?kuna ndugu yako huko?
 
Mkumbuke kuwajengea wakwe nyumba na vyoo vya maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…